Lyrics

SIZE 8 REBORN ft. Whitney Joy – Shangilia Lyrics

SIZE 8 REBORN ft. Whitney Joy - Shangilia Lyrics

SIZE 8 REBORN ft. Whitney Joy – Shangilia

Shangilia aah
Zawadi ya dunia aah
Shangilia aah (Shangilia… Shangilia…)
Nuru ya dunia eeeh

That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving

SEE ALSO:  Lyrics Unopened Windows - Set It Off | Midnight

Kwa upendo
Wako eh Baba
Ukatupa mwana wapekee
Dunia nzima, kauona mwanga
Maana yeye, njia ya pekee

Ona nuru ya bwana imeshuka aah
Ona upendo wake ume tamba
Ona nuru ya bwana imeshuka aah
Ona upendo wake ume tamba aah

Shangilia aah
Zawadi ya dunia aah
Shangilia aah (Shangilia… Shangilia…)
Nuru ya dunia eeeh

Shangilia aah
Zawadi ya dunia aah
Shangilia aah (Shangilia… Shangilia…)
Nuru ya dunia eeeh

That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving (giving giving giving)
That keeps on giving

SEE ALSO:  Lyrics-Brolik Song-100 Blaze | New Song

Bwana yesu yeye atupenda
Let the come to me
Njooni sasa tushangilie
Yeye bwana ni Mungu wetu

Ona nuru ya bwana imeshuka aah
Ona upendo wake ume tamba
Ona nuru ya bwana imeshuka aah
Ona upendo wake ume tamba aah

Shangilia aah
Zawadi ya dunia aah
Shangilia aah (Shangilia… Shangilia…)
Nuru ya dunia eeeh

Shangilia aah
Zawadi ya dunia aah
Shangilia aah (Shangilia… Shangilia…)
Nuru ya dunia eeeh

SEE ALSO:  Download Oruko Rere Ni 2017 Yoruba Movie

Comment here